MUSOMA UTALII SECONDARY SCHOOL - Tanzania

0.00 Reviews
Write a Review
  • Verified
    Listing
  • +5Years
    With Us
Company name
MUSOMA UTALII SECONDARY SCHOOL
Location
Contact number
Mobile phone
Working hours
  • Monday: 08:00 - 17:00
  • Tuesday: 08:00 - 17:00
  • Wednesday: 08:00 - 17:00
  • Thursday: 08:00 - 17:00
  • Friday: 08:00 - 17:00
  • Saturday: 08:00 - 17:00
  • Sunday: 08:00 - 17:00
Company manager MUSOMA UTALII SECONDARY SCHOOL
Establishment year 2006
Employees 26-50
Registration code S2541
VAT registration IS0022
E-mail address
Company description
MUSOMA UTALII SECONDARY SCHOOL.
SIMU:
+255744180012
+255743764166
TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO-2020

MKUU WA SHULE YA MUSOMA UTALII ANAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO KWA:

1. KIDATO CHA TANO KWA MICHEPUO YA:
-PCB,PCM,CBG,ECA,PGM,HGE,HKL,HGL.

2. SIFA ZA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO
NI ZIFUATAZO:-

(i) UWE NA "C" TATU KATIKA
MASOMO YAKO.

(ii) USIWE NA "F" KATIKA MASOMO
YA COMBINATION. MFANO:
KAMA COMBINATION YAKO NI-
HKL...UKIWA NA
DDD--SAWA,CDD-SAWA,CCD-
SAWA,CCC-SAWA! LAKINI ILI
MRADI UWE NA
"C" TATU KTK COMBINATION.

(iii) WANAFUNZI AMBAO WANAKOSA SIFA
ZA KUJIUNGA WATAPOKELEWA
HUKU WAKIFANYA MITIHANI YA
KURUDIA ILIKUPATA UFAULU
  
Show more UNAOTAKIWA.
-WAHI USAJILI MAANA MWISHO
WAKE NI TAREHE 29/02/2020
KWA WANAORUDIA
MITIHANI YA KIDATO CHA NNE.
2. MASOMO YA PRE-FORM FIVE-2020 KWA
BEI NAFUU SANA.
-MASOMO HAYO YATAENDESHWA KWA
MIEZI MINNE KUANZIA FEBRUARY
MPAKA MWEZI JUNE.

3. TUNAPOKEA VILEVILE WANAFUNZI WA
KIDATO CHA 1 NA WANAOHAMIA
KIDATO CHA 2,3,4 NA 5
(WANAOINGIA FORM 6 MWEZI MAY).

SIFA ZETU NI ZA PEKEE NA TOFAUTI NA WASHINDANI WETU NA PENGINE ZA KUSTAAJABU:-

1. HATUCHUJI WANAFUNZI BALI
TUNACHUJA MWALIMU AMBAYE HAWEZI
KUMFAULISHA MWANAFUNZI.

2. TUNAPOKEA WOTE WALIOCHUJWA NA
KUWAFUNDISHA MPAKA WANAFAULU.

3. TUNAWASIMAMIA WANAFUNZI
KUJISOMEA,KUFANYA KAZI ZA
DARASANI NA PIA WALIMU KUTIMIZA
MAJUKUMU YAO YA KUFUNDISHA.

4. TUNAO WALIMU WEREDI,WENYE
KUJITUMA KATIKA KAZI.WASIOCHOKA
KUMFUNDISHA,KUMUELEKEZA
MWANAFUNZI,WENYE MOYO WA AGAPE.
NA UPENDO KWA WANAFUNZI.

5. TUNAPOKEA WANAORUDIA MITIHANI YA
KURUDIA KIDATO CHA NNE,SITA NA
QT.

SHULE NI YA BWENI NA KUTWA. IPO MUSOMA -NYABANGE,MKOANI MARA,UMBALI KIDOGO KUTOKA STENDI YA MABASI YAENDAYO MIKOANI.

FOMU ZETU ZINAPATIKANA SHULENI MUSOMA UTALII AU KATIKA INTERNET ILIYO KARIBU NAWE(MWAMBIE MTOA HUDUMA ATUPIGIE-TUMPE MAELEKEZO AKUPE FOMU)

AU KAMA UNA SIMU YA ANDROID-TUTAKUTUMIA KWA WHATSAPP.
===========KARIBU SANA============

-MARAFIKI NA JAMAA NA WAPENDA ELIMU POPOTE MLIPO NCHINI,,,SHARE TANGAZO HILI MARA NYINGI IWEZEKANAVYO ILI LIWAFIKIE WOTE WENYE KUTAFUTA SHULE YA KUJIUNGA.

- WADAU WOTE NA WANAFUNZI MLIOFANIKIWA KUPITIA MUSOMA UTALII AMBAO SASA MKO KATIKA AJIRA NA VYUO VYA KATI NA VIKUU...SHARE ILI NA WENGINE WANUFAIKE KAMA NINYI...
Products & Services (1)
NAFASI ZA MASOMO FORM 1,2,3,4,5,6
MUSOMA UTALII SECONDARY SCHOOL. SIMU: +255744180012 +255743764166 TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO-20...

Reviews

0 Reviews
0.0
 
Write a Review
This company has no reviews. Be the first to share your experiences!

Questions & Answers

Have questions? Get answers from MUSOMA UTALII SECONDARY SCHOOL or Tanzania Pages users. Visitors haven’t asked any questions yet.

Verified Business

The accuracy of the company profile for MUSOMA UTALII SECONDARY SCHOOL is validated by the company owner, representative, or directory administrator.
Last update on
Registered with us on
Related Searches
Share this listing
Send to WhatsApp Share on Facebook Share on Linkedin
Get Listed